Friday 20 November 2009

VYURA WA KIHANSI NI WAAJABU

jUZI NILIZUNGUMZA NA MWANAFUNZI MMOJA WA CHUO KIKUU kuhusu vyura wa kihansi hoja yangu ya msingi ilikuwa ni juu ya uwezo wetu kisayansi miaka arobaini baada ya uhuru, ni nkweli kuwa tulishindwa kuwafanyia uchunguzi wa kutosha hadi ikabidi wapelekwe amerika. Jibu nililolipata kutoka kwake sikulitegemea nanukuu " yaani vyura wamefika na kuishi marekani kwa miaka sita namimi mtu mzima nakusikia tu" Ilinibidi kufikiri zaidi juu yake kuliko vyura wale. Nilipomuuliza anasoea nini? akajibu B.ed Science(chemistry and Biology) i didn't believe!

vyura hao ni wadogo mno kiasi cha robotatu nchi tu

5 comments:

Christian Bwaya said...

Msomi huyo amekata tamaa kama tulivyo waswahili wengi. Maisha yanakuwa sababu ya kudumaza uwezo wa kufikiri zaidi ya matatizo tuliyonayo.

Inafika mahali mtu anaanza kuota ndoto za kuimbia nchi kama suluhisho la kukata tamaa na yanayoendelea nchini.

Kwa mtu kama huyo, hata anaposikia kuna viumbe wamesafirishwa kwenda 'mamtoni', kwake hilo linatosha kumtia hasira.

Kwa sababu anahesabu ukimbizi kuwa sehemu ya faraja ya matatizo aliyonayo.

Binafsi simshangai msomi huyo wa sayansi. Hatofautiani na wengi wetu.

chib said...

Bwaya :-)

Simon Kitururu said...

Naungana na Mkuu CHIB: Bwaya :-)

Lakini inasikitisha!:-(

Mzee wa Changamoto said...

Kaka Mdoti
Kwa niaba ya familia yangu na wapenda mema wote nakutakia kila lililo jema wakati huu wa sikukuu na usalama kuelekea mwaka mpya
Baraka kwako

Obat Vimax said...

thanks for sharing nice blog and article