Hii ni hoja nzito mno kuliko unavyoweza kuelewa, hasa kwa kuwa kiasi cha kuelewa si swala la mtu binafsi. Je uelewa juu yako binafsi ni wakiasi gani? na je uelewa juu ya nchi yako ni mkubwa kuliko uelewa juu ya nchi jirani?
Tatizo si katika hilo tu bali je elemu yetu imekuwezesha kuelewa mambo kwa kiasi gani mambo yatakayo kuwezesha kutatua matatizo yako binafsi?
5 comments:
ni kweli ni mada ya kufikirisha tena mno. Kuna wakati huwa najiuliza kama najua mimi ni nani na natoka wapi. MMMMHHH sijui kama nitaelewa.....
Dada Yasinta, nivizuri kufikiri ni kwa kiasi gani tunayaekewa tunayoamini kuwa tunayaelewa ili tusije jibweteka tukidhani inatosha.
Kweli kabisa mdoti-kom, hili jambo la kujipweteka kwa kudhani inatosha ni adui mkubwa sana anayetumaliza wanadamu.
Nimeipenda sana Mada hii.
kuelewa ni msingi wa kuvuka hatua moja hadi nyingine. fanya tathimini ni kwa asilimia ngapi hujushughulisha na kazi ya kufikiri? anza leo.
Maswali magumu! Naendelea kufikiri!
Post a Comment