jUZI NILIZUNGUMZA NA MWANAFUNZI MMOJA WA CHUO KIKUU kuhusu vyura wa kihansi hoja yangu ya msingi ilikuwa ni juu ya uwezo wetu kisayansi miaka arobaini baada ya uhuru, ni nkweli kuwa tulishindwa kuwafanyia uchunguzi wa kutosha hadi ikabidi wapelekwe amerika. Jibu nililolipata kutoka kwake sikulitegemea nanukuu " yaani vyura wamefika na kuishi marekani kwa miaka sita namimi mtu mzima nakusikia tu" Ilinibidi kufikiri zaidi juu yake kuliko vyura wale. Nilipomuuliza anasoea nini? akajibu B.ed Science(chemistry and Biology) i didn't believe!
vyura hao ni wadogo mno kiasi cha robotatu nchi tu