Monday, 2 August 2010

Naelewa kwa kiasi gani?

Hii ni hoja nzito mno kuliko unavyoweza kuelewa, hasa kwa kuwa kiasi cha kuelewa si swala la mtu binafsi. Je uelewa juu yako binafsi ni wakiasi gani? na je uelewa juu ya nchi yako ni mkubwa kuliko uelewa juu ya nchi jirani?
Tatizo si katika hilo tu bali je elemu yetu imekuwezesha kuelewa mambo kwa kiasi gani mambo yatakayo kuwezesha kutatua matatizo yako binafsi?