Tuesday, 3 November 2009

Wanaudhi kwa kwao kujipongeza!

Kila anayesimama anaanza kwa kupongeza, na kushukuru, hii imekuwa kawaida siku hadi siku. Rais, viongozi, wabunge na wanadiplomasia, Lipi walilotutendea linalostahili pongezi? Hawachoki? Je huku sio kujipendekeza ili Kuficha makosa na uovu wao? je nazile shukrani kipi kikubwa mbona zinazidi?

No comments: