Tuesday, 17 November 2009

vyura wa kihansi!

vyura wa kihansi waqnaotarajiwa kurudishwa nchini kutoka Toledo zoonchini marekani wanatarajiwa kuhifadhiwa na wanasayansi wa chuo kikuuu cha dare-es salaam. Vyura hao walihifadhiwa kwa gharama ya shilingi milioni kumi na tano za kitanzania kwa mwaka! it is a good news

4 comments:

chib said...

Lakini wanasema Marekani ililipia zaidi ya Tanzania. Je unajua sababu!?

upepo mwanana said...

naomba kuwa mgeni wako katika blogu hii

Anonymous said...

Karibu kwenye ulimwengu wa kublogu

mdoti Com-kom said...

Sijapata kusikia chib, lakini ni kwasababu tu wamekuwa na uelewa mkubwa zaid na wameshajua faida watakayopata wakati huohuo watanzania wanalalama kuwa pesa zimetumika nyingi hasa ukuchukulia kuwa ni vyura.