sidhani kuwa tatizo ni lugha au maneno hayatoshi labda ni time management imeanza kuwa ajenda ya kiafrika, yote yawezekana lakini watu hatusomi articles ndefu anyway take time and see what you can do!
Watu wanazisoma mkuu na wanaelewa, na yawezekana articles unazofikiri kuwa hazisomwi,nje ya ukumbi wa blog zinazua mjadala sana, ni vile tu unakuta wengine hawapendi kuacha maoni yao kwenye articles wanazozipitia.
Thanx a lot 4 ur coments, lakini nadhan bwaya amepatwa na fikira zake. Huwez kusoma halafu usiwena coment lakini unaweza kutoandika, hata kutikisa kichwa is a coment
Mimi ni mmoja kati ya watu hao "wavivu" wala sidanganyi. Kwasababu kichwa changu naelewa nikifanya "skimming". Yaani you go through the main points. Ila kama sijaelewa basi nasoma neno moja baada ya jingine. Ubongo unatofautiana...na watu wanaelewa tofauti kwahiyo mimi nasema hivi, kuna sababu nyingi tu mtu hawezi kusoma article ndefu...good point
9 comments:

Mimi nahusudu kusoma articles ingawa nawajua watu ambao hawahusudu kusoma na hata kwenye Blogs wanahusudu za picha.:-(
Lakini kama alivyosema KISSIMA , unaweza kushangaa akusomaye ambaye hata siku moja hujawahi kufikiria anakusoma.
kama hawasomi hakuna mjadala kuna uvivu tena wa fikra, lakini pengine ni hulka tu ya wengi wetu kutopenda kutoa komenti, naomba kuwasilisha
Mliosema kaka zangu ni sawa kabisa na pengine wengi pia ni wavivu au kama alivyosema kaka Kissima hawatoi maoni. Au ni pengine hawajaelewa.
Hivi ukisoma kitu ni LAZIMA 'ukomenti'?
Hili linaweza kuwa ni tatizo jingine la sisi Waswahili. Kila kitu lazima 'komenti'.
Thanx a lot 4 ur coments, lakini nadhan bwaya amepatwa na fikira zake. Huwez kusoma halafu usiwena coment lakini unaweza kutoandika, hata kutikisa kichwa is a coment
Mimi ni mmoja kati ya watu hao "wavivu" wala sidanganyi. Kwasababu kichwa changu naelewa nikifanya "skimming". Yaani you go through the main points. Ila kama sijaelewa basi nasoma neno moja baada ya jingine. Ubongo unatofautiana...na watu wanaelewa tofauti kwahiyo mimi nasema hivi, kuna sababu nyingi tu mtu hawezi kusoma article ndefu...good point
Kukomenti maana yake ni nini?
I like it this really good information
Post a Comment